MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Damu ya wapalestina inamwagika kama maji dunia imekaa kimya
Ivanka mumewe ni myahudi pure! So, yuko ukweni a.k.a home.... hafla hiyo imehudhuriwa na maafisa wa Serikali ya Marekani akiwemo mtoto wa Trump, Ivanka.
'Mahige' ndio nani?Hii timing ya kufungua ubalozi si ya kitoto Israel inatimiza miaka 70 leo na wanosoma biblia wanaelewa maana ya kutimia kwa Miaka 70 ktk taifa. Hiyo ni beginning of non stop violence frm palestians.
Mahige kufungua naye mwaka huu ubalozi lakini kaufungulia Tel Aviv cha ajabu waziri wa sheria wa Israel alikuwepo ktk ufunguzi...hapo nimemuona Mahige anajikosha tuu soon or later ubalozi utahamia Jerusalem sabbu kubwa itakuwa ni kukosa huduma za haraka za kibalozi hapo atapata justification kusema kuwa but we tried....well played Mahige well played
Taifa la Israel la kijinga sana sijapata kuona, Na nchi za Kiarabu nazo zinakosa umoja zipo tu Matambara vichwani badala ya akili.
Unataka dunia ifanye nini na huku ukweli wanauelewa, hayo ya zamani ilikuwa ni siasa tu hata Palestinians kule West Bank unaona wamepozi tu make wanafahamu ukweli na hawahitaji "Kujilipua".Damu ya wapalestina inamwagika kama maji dunia imekaa kimya
Aisee! Ile mishoga itakuwa bei rahisi sana Leo hii
Nalog off
mbn zamani walikua na umoja? walipigana mpk vita na muisrael, waliungana wakamuwekea marekani vikwazo..nchi za kiarabu zimejitoa sana hapo kabla kwajili ya palestine, jiulize kwann cku hizi hawaonekani kuguswa kama zamani, unapowatusi waarabu wote unakosea sana kuna nchi mpk leo znabeba mzgo wa wapalestina..misri,jordan syria wamepata shida sana..jiulize kwann hata misri naye ameanza kujiweka kandoTaifa la Israel la kijinga sana sijapata kuona, Na nchi za Kiarabu nazo zinakosa umoja zipo tu Matambara vichwani badala ya akili.