Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,096
- 11,289
Ila nimeamini Tanzania kuna vipaji bila kupitisha muamala wa Tigopesa hushindi.Ukweli ni kwamba Simba ni overrated. Ingawaje mtu kama Manara anataka kuaminisha watu kwamba Simba ina best players, ukweli ni kwamba level ya wachezaji wa Simba ni level ya wachezaji wengine within East Africa! Na kwavile Mtibwa nayo ni miongoni mwa timu mzuri within East Africa, haishangazi kuona wanawapiga Simba yenye wachezaji wenye level ya ki-East Africa!
Majority ya Wachezaji wa Simba wameokotezwa kutoka nchi mbalimbali za East Africa! The same East Africa ambayo hata kiwango chao kimpira kipo chini kuliko ukanda mwingine wowote ule barani Afrika! Lakini ukimsikiliza mropokaji kama Manara, utakuta anaiweka Simba eti level moja na akina TP Mazembe!
Huyu mdau anasemaje?
Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI
Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa kila namna wanaoweza kutengeneza matokeo hata wale ambao hawapati nafasi mara kwa mara bado ni bora na tunaona viwango vyao!
Simba haijafanya vibaya kihivyo lakini viongozi simba lazima muliangalie hili mapema
MNAWAFANYA WACHEZAJI WACHEZE KWA PRESHA KUBWA
Tatizo hili linaondoa kabisa kujiamini miongoni mwa wachezaji na kujikuta wakifanya makosa sana hasa pale wanapotanguliwa goli au kuchelewa kupata goli la kuwa mbele.
Tatizo hili nimeliona kwa michezo zaidi ya minne ambayo simba hakupata ushindi.
Simba vs Ud Songo
Simba vs Mwadui
Simba vs Yanga
Simba vs Mtibwa
Kwa presha waliyonayo wachezaji wa Simba hata wakifungwa goli dakika za mwanzo kabisa hawawezi tena kurudi mchezoni, utawaona wachezaji wakicheza kwa presha, wanapoteza pasi hovyo! faulo za kutosha na kukosa kujiamini ikiwa ni pamoja na kukosa kutengeneza nafasi za magoli au kukosa magoli ya wazi.
Viongozi wa Simba kumbukeni kuwatia presha wachezaji hasa katika mitandao ya kijamii haiwasaidii; watieni moyo, hakuna mchezaji anayependa matokeo mabovu.
Aidha, kwa sasa ili kuinusuru Simba itawabidi kutafuta matibabu ya kisaikolojia kwaajili ya wachezaji ili warudishe kule kujiamini hata pale wanapokuwa nyuma waweze kupindua matokeo.
Leo sitaandika sana.
Masshele Emanuel

Nasikia hirizi ya jana kaishonea kwenye jezi.
Kweli aiseee...Hirizi FC buana.
Tatizo la Simba linaanzia kwenye uongozi ,wapambe(makomandoo),na benchi la ufundi,kwa kuwachezesha baadhi ya wachezaji a mbao hawanzi kwenye VPL,(kikosi dhaifu).Huyu mdau anasemaje?
Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI
Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa kila namna wanaoweza kutengeneza matokeo hata wale ambao hawapati nafasi mara kwa mara bado ni bora na tunaona viwango vyao!
Simba haijafanya vibaya kihivyo lakini viongozi simba lazima muliangalie hili mapema
MNAWAFANYA WACHEZAJI WACHEZE KWA PRESHA KUBWA
Tatizo hili linaondoa kabisa kujiamini miongoni mwa wachezaji na kujikuta wakifanya makosa sana hasa pale wanapotanguliwa goli au kuchelewa kupata goli la kuwa mbele.
Tatizo hili nimeliona kwa michezo zaidi ya minne ambayo simba hakupata ushindi.
Simba vs Ud Songo
Simba vs Mwadui
Simba vs Yanga
Simba vs Mtibwa
Kwa presha waliyonayo wachezaji wa Simba hata wakifungwa goli dakika za mwanzo kabisa hawawezi tena kurudi mchezoni, utawaona wachezaji wakicheza kwa presha, wanapoteza pasi hovyo! faulo za kutosha na kukosa kujiamini ikiwa ni pamoja na kukosa kutengeneza nafasi za magoli au kukosa magoli ya wazi.
Viongozi wa Simba kumbukeni kuwatia presha wachezaji hasa katika mitandao ya kijamii haiwasaidii; watieni moyo, hakuna mchezaji anayependa matokeo mabovu.
Aidha, kwa sasa ili kuinusuru Simba itawabidi kutafuta matibabu ya kisaikolojia kwaajili ya wachezaji ili warudishe kule kujiamini hata pale wanapokuwa nyuma waweze kupindua matokeo.
Leo sitaandika sana.
Masshele Emanuel
Nilitaka kukoment ila umenisemea yote. Simba ina wachezaj wakawaida sana tena sana ila manara ndo anawaaminisha watu kuwa simba ni level zingne. Michexo yote ukisnza na wa yanga na wa mtibw utaona wachezaj wanajituma to the maximum ila hawapat matokeo hii ni kw sababu uwezo umeishia pale.Ukweli ni kwamba Simba ni overrated. Ingawaje mtu kama Manara anataka kuaminisha watu kwamba Simba ina best players, ukweli ni kwamba level ya wachezaji wa Simba ni level ya wachezaji wengine within East Africa! Na kwavile Mtibwa nayo ni miongoni mwa timu mzuri within East Africa, haishangazi kuona wanawapiga Simba yenye wachezaji wenye level ya ki-East Africa!
Majority ya Wachezaji wa Simba wameokotezwa kutoka nchi mbalimbali za East Africa! The same East Africa ambayo hata kiwango chao kimpira kipo chini kuliko ukanda mwingine wowote ule barani Afrika! Lakini ukimsikiliza mropokaji kama Manara, utakuta anaiweka Simba eti level moja na akina TP Mazembe!
Sio,Kwani timu gani isiyofungwa....
Tatizo jingine ni ninyi mashabiki mnaotaka kila mechi mshinde tu
Sio,
Kwanini wachezaji wa kikosi cha Kwanza hawafahamiki na makocha.
Timu gani isiyo na Kikosi cha Kwanza.
Ulishawahi kuona Rinaldo anapumzishwa bila sababu.
Kama haumwi ni lazima apangwe.
Kikosi cha ushindi ni lazima Kocha akifahamu.
Yaani Mtibwa unawawekea
Santos
Shamte
Gadiel
Kama mabeki halafu wakukose.
Sent using Jamii Forums mobile app