Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 314
- 545
Awake picha ya mnene na gamboHuyo mnene ni nani?
Mbona unatuharibia muda wetu wa maombolezo ya Papa Francicus unaleta taarifa ambayo haieleweki?Wakuu
Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu wanahofia kukujibu kwa sababu tuu boss anakukubali
Ila siku ikitokea boss akaanza kukukataa hata ukisema kitu cha kwel kabsa na haki wafanyakaz wenzako watakujib shortly na kwa dharau kwa sabab deep down wanajua hukubariki kwa mnene na wana uhakika huna chochote cha kuwafanya na ofisini hautoboi mda wowote hautakuepo
Sasa hiko ndo anachopitia jamaa yetu,anaweza kuwa anasema kwel lakin who cares zaidi wanamuona anawapigia makelele tuu maana tayari wanajua hata akiamua kurudi kuchukua kiti hatoboi
Hyo sasa ndo UBAYA UBWELA
Malipo hp hp duniani, alikuwa anajisikia sn, ana arrogancr dharau, alinyanyasa sn watu wakati wa Magu. Ndiyo malipo yake ayapokee tena kwa mikono miwili.Wakuu
Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu wanahofia kukujibu kwa sababu tuu boss anakukubali
Ila siku ikitokea boss akaanza kukukataa hata ukisema kitu cha kwel kabsa na haki wafanyakaz wenzako watakujib shortly na kwa dharau kwa sabab deep down wanajua hukubariki kwa mnene na wana uhakika huna chochote cha kuwafanya na ofisini hautoboi mda wowote hautakuepo
Sasa hiko ndo anachopitia jamaa yetu,anaweza kuwa anasema kwel lakin who cares zaidi wanamuona anawapigia makelele tuu maana tayari wanajua hata akiamua kurudi kuchukua kiti hatoboi
Hyo sasa ndo UBAYA UBWELA
Mbona unatuharibia muda wetu wa maombolezo ya Papa Francicus unaleta taarifa ambayo haieleweki?
Nimerudi kusoma headingMbona unatuharibia muda wetu wa maombolezo ya Papa Francicus unaleta taarifa ambayo haieleweki?