Hii nayo ni IGA na HGA viomgozi ni walewale tofauti yao na sisi ni suti zao na kanzu na makubazi yetu.Manispaa ya Morogoro inalazimisha gari zinazofanya safari ndani ya mkoa ziende zikapakilie stendi ya daladala Mafiga badala ya stendi ya msamvu
Zoezi hili limekuja baada ya Manispaa kushindwa kesi na kampuni ya Msamvu properties kuhusu uhalali wa kukusanya mapato ndani ya stendi ya msamvu hivyo manispaa imeamua kuzitoa gari hizo na kuzipeleka mafiga kwa lengo la kipato
Wamiliki na madereva wamegoma kupeleka gari Mafiga hali inayosababisha kero kwa abiria
Viongozi wa manispaa kaeni chini mjifikirie upya aliewapa wazo la kujenga stendi kule amewaingiza chaka
Yaan abiria kutoka mikoani ashuke msamvu apande daladala mpaka mafiga akapande gari za turiani au gairo hii imekaa sawa kweli?
Kwahiyo anaekusanya mapato sio serikali tena ni hiyo kampuni binafsi?Manispaa ya Morogoro inalazimisha gari zinazofanya safari ndani ya mkoa ziende zikapakilie stendi ya daladala Mafiga badala ya stendi ya Msamvu.
Zoezi hili limekuja baada ya Manispaa kushindwa kesi na kampuni ya Msamvu properties kuhusu uhalali wa kukusanya mapato ndani ya stendi ya Msamvu hivyo manispaa imeamua kuzitoa gari hizo na kuzipeleka mafiga kwa lengo la kipato.
Wamiliki na madereva wamegoma kupeleka gari Mafiga hali inayosababisha kero kwa abiria. Viongozi wa manispaa kaeni chini mjifikirie upya aliewapa wazo la kujenga stendi kule amewaingiza chaka.
Yaan abiria kutoka mikoani ashuke Msamvu apande daladala mpaka Mafiga akapande gari za Turiani au Gairo hii imekaa sawa kweli?
Anaekusanya mapato hapo msamvu ni nani? Manispaa au hiyo kampuni binafsi baada ya kushinda kesi?Ni basi tu kwa Sababu ni Mali ya serikali. Lakini ilipaswa viongozi wote walioshauri stendi kujengwa mafiga kwa Sababu ilikuwa wahojiwe tu lengo c lilikuwa daladala za ndani ndio stendi Yao? Kwanini ilifeli? Then ndio uje uongozi mwingine uje na hiyo hoja ya kuhamisha mabasi ya kwenda wilayani kuitumia.
Lakini sio walewale waliofeli kwenye lengo la kwanza ndio haohao waje washauri eti mabasi ya kwenda wilaya za morogoro ndio waingie.
Hapana kulikua kumebana sana na haukuleta taswira nzuri ya mjiWarudishe stend ya zamani tu, yanapaki magari binafsi wakati pale ilikuwa pazuri tu katikati ya mji.
Shida walipewa eneo na viongozi wa SUA,na wao kwa ujinga wao wakaona hiyo nk fursa.Ni basi tu kwa Sababu ni Mali ya serikali. Lakini ilipaswa viongozi wote walioshauri stendi kujengwa mafiga kwa Sababu ilikuwa wahojiwe tu lengo c lilikuwa daladala za ndani ndio stendi Yao? Kwanini ilifeli? Then ndio uje uongozi mwingine uje na hiyo hoja ya kuhamisha mabasi ya kwenda wilayani kuitumia.
Lakini sio walewale waliofeli kwenye lengo la kwanza ndio haohao waje washauri eti mabasi ya kwenda wilaya za morogoro ndio waingie.
π€£π€£π€£Siku zote,ukipewa kitu na taasisi kama SUA jiulize mara mbili,
Hapana mkuu,sua hawajui kutumia maeneo yao,viongozi wanajali mambo yao na nafasi zao,sioni mantiki ya kuwapa manispaa eneo lile.π€£π€£π€£
Mkuu, wewe ulipewa wale panya nini? Wale wa kutegua mabomu.