kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Kwa mujibu wa gazeti la Gulf News balozi huyo alikuwa akikutana na mwanamke huyo mara chache sana kabla ya siku ya harusi na wakati wote mwanamke huyo alikuwa akiufunika uso wake kwa Niqab (Vazi linalofunika uso na kuacha macho pekee wazi).
DuH!
Nilikuwa cijui; hata wachumba hawaonani sura?
Hii habari imekaa kiudaku zaidi. Hivi mtu anayevaa NIQABU haonekani macho? Km alikuwa anaonana naye hakugundua macho yako vipi? Naamini pia sheria inauhusu mtu kumuona mtarajiwa wake kabla ya ndoa, hapo ilikuwaje? Habari km hii haiwezi hata kutaja eneo husika zaidi ya kutaja nchi maana imejaa walakini.Kwa mujibu wa gazeti la Gulf News balozi huyo alikuwa akikutana na mwanamke huyo mara chache sana kabla ya siku ya harusi na wakati wote mwanamke huyo alikuwa akiufunika uso wake kwa Niqab (Vazi linalofunika uso na kuacha macho pekee wazi).