Hiii ni nomaaaa!!!!!!

Heshima Kwa mama wote pande za uswazi.
 
utoto wangu wote hadi napata uwezo wa kujisaidia mwenyewe, nilikuwa natitishwa hivi. wamama wa vijijini aisee wanapaswa kupongezwa. hawa wanawake wa siku hizi wanaojua tu pampasi, hata kuyashika tu wanaona kinyaa, nguo za mtoto anafua dada wa kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…