Hiii bima ya afya imekuwa changamoto sana

Joined
May 29, 2016
Posts
34
Reaction score
12
Hiii bima ya afya imekuwa changamoto saana.

waziri wa afya itabidi afanye jitihada watoto wetu kusaidiwa.

20230921_132646.jpg
20230923_071812.jpg
 
Bima kwa sasa kurekebishwa ni unyonyaji. Watu wanajikopea fedha huko bila kurudisha na mzigo kuangishiwa watu wa kipato cha chini badala ya kuwawajibisha wahusika.
 
Hiii bima ya afya imekuwa changamoto saana
waziri wa afya itabidi afanye jitihada watoto wetu kusaidiwa
View attachment 2759670View attachment 2759671
Kuna mtu alimkatia bibi yake bima kwa niaba ya mzazi wake kwakuwa mzazi wake ni mtumishi wa umma; na huyo bibi amekuwa akiitumia bima hiyo tangu 2012. Kufikia July 2023, bima imesitishwa kwa kigezo kwamba muhusika sio mzazi wa mnufaika ambaye ni mwajiriwa wa serikali.

Na huyo mnufaika anakatwa kila mwezi, na hana mtegemezi mwingine zaidi ya huyo mmoja tu kati ya idadi inayotakiwa ya watu wasiozidi sita. Mbaya zaidi huyo bibi yake ni mzee na anahitaji huduma ya afya! Cha ajabu hiyo siku husika waliwafukuza wote waliokuwa na changamoto kama yake pasipo hata kupewa huduma ya afya! Inaumiza sana!

Sijui wanataka wazee na watoto wafe mapema??? Inauma sanaaa! Basi tu hakuna namna!
 
Hii imemtokea mzee wangu.

Ni mgonjwa wa Figo na anatakiwa kufanya Dialysis kwa siku tatu za wiki.

Lakini kwa sasa Tangu Jumatatu, Bima yake imesitishwa kwa kigezo kwamba majina yake ni Tofauti kwenye Nida yake na cheti cha ndoa.

Imebidi kuandika barua kwa wahusika makao makuu, tunasubiri mrejesho.

Lakini kwa kweli, Dialysis ni gharama sana kulipa Cash.

Hadi mda mwingine mzee anakata tamaa ya kuishi.
 
Back
Top Bottom