Hii yetu wanaume.

Kwa hiyo nikutumie nambari ya simu unitumie mshiko sio...!!!
Aisee mbona unajifanya hamnazo?? Tuma muamala. Unajichelewesha kizembeee mpaka umkose halafu uanze kujidai huna bahati sijui wadada wa siku hizi na maneno tele.
 
Mbona nilifanya kama utani kwa demu, kaganda mpaka leo!
 
Kila mtu anastaili yake ya kupenda,unaweza ukamtriti ivo Akaja wa kumpa vijizawadi vya hapa na pale kutokana hela zake akamunyakua as well as ukampa hela bado akaenda kuzihonga
 
Hahahahahahaahahah. Anajifanya mwehu??? Mwambie wewe mwehu Mara kumi yake.

The world aint in black and white as u would expect...

Hiyo ilikuwa ni convo between two grown ups, ipo so coded...only two of us would understand!!!

...
 
I cannot date such woman because she is psychologically sick.
 
Wanawake wa Siku hizi wanachotaka pochi Nene mengine yote ni hadidu za rejea $ kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…