Hii yetu wanaume.

Ukiona mtu anasisitiza pesa kwenye love elewa huyo si mpenzi,bali 'mgegedaji mwendazake' UPENDO unajengwa na kuelewana/kupatana kiroho,kinafsi na kimwili (mtiririko huo wa kiroho,kinafsi na kimwili) usipinduliwe hivyo ni vipaumbele muhimu ili UPENDO udumu
 
Mtajisimbua bure lakini ukweli ni huu... " wanawake hawajui wanataka nini exactly..."
 
Mtu aliye single ana enjoy sana. Vitu vyota hivyo anahitaji mwanamke??
 
Zamani sikuamini lakini sasa naamini, mapenzi bila pesa hayanogi. Utawezaje KUJIAMINI huku hujui utakula nn? Utawezaje kumhakikishia mtu Usalama wake kama huna pesa maana 'Silaha Pesa kisu/pastola mzigo'. Ubunifu na utundu utauweza vipi bila kula chakula BORA.
 

Mkuu mie huwa nasoma then, naishia kucheka tu nikilinganisha na experience yangu...
 
hii misamiati yenu hii.......watoto wenyewe wanavyong'aa macho kama tanuri la gongo......we jitahidi tuu....
 
Ni kweli ulichoongelea Mkuu lakini the last ingredient in practicality ni pesa tu, unaweza fanya yote hayo ila bila pesa to support the other things haitasaidia lolote
 

We mpe hela mpe hela nasema helaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…