Hii yetu wanaume.

Ndo maana nasema hii tabia yakuendesha mapenzi kupitia majarida na tamthilia ambapo mtu anayetoa huo ushauri hajawahi kuwa na mwanamke zaidi ya mke wake afu anazungumzia utafiti wakimapenz kwa watu wote huko nikudanganyana kabisa na porojo ambazo KAMWE utekelezaji wake HAUPO chini ya jua hili,mtu anakuambia mwanamke anahitaji care nakupendwa hata kama akukosee...dah!!asee hii ni kwingine siyo dunian hakyanani,kwanza ww jaribu kuwa kama wanavyoshaur uone kama hujakonda hadi kichwa kwa mawazo..
 
Kutoka kwa Dismas Lyassa kupitia fb a/c yake.

poa mkuu. Hata sikua najua umeitoa wapi na wala sikua na aidia yoyote ila kuna makosa machache yaneisababisha nijiulize kama imenakiliwa mahali au uchapaji ulikua na makosa. Sikua na maana ingine mkuu,one love.

Huyo lyassa ndio yule alikua na kikampuni cha kihuni pale riverside?anawadanganya watu anawasaidia kupata ufadhili wa kusoma ulaya?mshenzi sana alikula hela za mdogo wangu kwa kumdanganya atampeleka ulaya.
 
sasa huyo demu/wife akikutana na vijana kama mimi ambaye nipo romantic namtafuna na pesa zako zote unazompa.
kwani mpenzi wangu ni karanga mpaka umtafune?sio ROMANtic tu, ata ukiwa ANGLICANtic kama huna pesa demu wangu humpati
 
kumbe hii ishu ya utapeli ilikuwa kweli kwasababu naona watu wengi sana wanailalamikia.
 
kumbe hii ishu ya utapeli ilikuwa kweli kwasababu naona watu wengi sana wanailalamikia.

Ilikua kweli mkuu. Alikua na kijiofisi pale pembeni ya landmark hotel ameweka tangazo eti anawasaidia watu kupata wadhamini na vyuo vya kusoma ulaya. Mkuda sana yule mshikaji.
 
nimekupenda bila garama
 
Haya mambo ni ya kufikirika tu...ni hypothetical...haiwezi kua perfect hivi,no way....
 
Hizi ndoa sasa zimekuwa kama kutafuta phd.mweeeh!
 
Ilikua kweli mkuu. Alikua na kijiofisi pale pembeni ya landmark hotel ameweka tangazo eti anawasaidia watu kupata wadhamini na vyuo vya kusoma ulaya. Mkuda sana yule mshikaji.

mngemshtaki pia humu ndani kuna thread wamemzungumzia.
 
This stuff is a two way thing...never expect receiving without giving......wadada kibao wanategemea kupata tuuu bila wao kujitoa km hivyo....ni hayo tu
 
This stuff is a two way thing...never expect receiving without giving......wadada kibao wanategemea kupata tuuu bila wao kujitoa km hivyo....ni hayo tu

wataalamu tunasema kuwa wao wanaakili ya kujumlisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…