Yanga princes inajengwa bado wapo kwenye project yao ya kuitengeneza timu uwezi kulinganisha na Simba ambayo imejengwa kwa muda mrefu na washatengeneza muunganiko mzuri uliowafikisha mpaka klabu bingwa ya wanawake, na yanga inajitafuta itafika uko badae!Naangalia hapa simba Queens na yanga princess,kiukweli yanga haina wachezaji kabisa.
Hivi hapa kuna wachezaji waliotoka nje ktk hawa wachezaji ? Kama wapo wavunjiwe mikataba warudi kwao. Ni bora kutumia wazawa hata kama ni wabovu kuliko haya magarasa kutoka nje.
Wachezaji hata kupiga pssi 3 hawawezi, kuna wengine wakipata mpira wao wanachofikiria ni kubutua tu. Mpira wa kurusha sasa yaan mtu anaona kapiga amekabwa badala aanze na huyu ambaye hajakabwa yeye anachoongalia ni mpira urushwe mbele tu.
Kuna kama wachezaji wawili tu hapa ndo wachezaji mmoja ni kiungo amesuka anatumia mguu wa kushoto huu ni mchezaji anaweza cheza hata na wanaume ila waliobaki ni takataka tupu.
Simba wana team nzuri na wanacheza vzr sana, simba wana piga mpk counter attack na zina fika kuna mchezaji wao anavaa namba 4 anasumbua sana kwa kasi na nguvu zake.
Hii team yetu ifutwe tu yanga princess ni mbovu
Akili za wakina kisugu utazijua tu ukichanganya na Kono la nyani lazima fyuzi za ubongo zifyatuke!Ata ile kubwa ni takataka sema tu mipango mingi nje ya uwanja ndio inawabeba
Mmetoka kuchezea mkono uwe na heshimaAta ile kubwa ni takataka sema tu mipango mingi nje ya uwanja ndio inawabeba
Huo ndio ukweli, hamna timu muleAkili za wakina kisugu utazijua tu ukichanganya na Kono la nyani lazima fyuzi za ubongo zifyatuke!
Weka matokeo. Acha maneno mengi.Naangalia hapa simba Queens na yanga princess,kiukweli yanga haina wachezaji kabisa.
Hivi hapa kuna wachezaji waliotoka nje katika hawa wachezaji? Kama wapo wavunjiwe mikataba warudi kwao. Ni bora kutumia wazawa hata kama ni wabovu kuliko haya magarasa kutoka nje.
Wachezaji hata kupiga pssi 3 hawawezi, kuna wengine wakipata mpira wao wanachofikiria ni kubutua tu.
Mpira wa kurusha sasa yaan mtu anaona kapiga amekabwa badala aanze na huyu ambaye hajakabwa yeye anachoongalia ni mpira urushwe mbele tu.
Kuna kama wachezaji wawili tu hapa ndo wachezaji mmoja ni kiungo amesuka anatumia mguu wa kushoto huu ni mchezaji anaweza cheza hata na wanaume ila waliobaki ni takataka tupu.
Simba wana team nzuri na wanacheza vzr sana, simba wana piga mpk counter attack na zina fika kuna mchezaji wao anavaa namba 4 anasumbua sana kwa kasi na nguvu zake.
Hii team yetu ifutwe tu yanga princess ni mbovu
Bayern kaingia kwenye mfumo wa mtu, kapigwa za kutosha.Bayern tuu amekula 5 huko itakuwa Yanga Princess ya juzi.