Hii ya Azam Fc ni aibu kwa Simba na Yanga

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,863
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
Jamaa wapo kimataifa kwelikweli...Huuu ndio muomekano wao katika safari yao ya Afrika Kusini leo
 
Mungu awajalie wafike mbali kisoka.. hizi ndo indicators za mafanikio hapo mbeleni
 
mleta mada nakubaliana na wewe kuwa kwa ujumla Azam ni wazuri mara alfu ukiwalinganisha na Yanga & Simba katika uwezo wa football club management.

lakini ni uswahili uliopitiliza kuongeza uvaaji suti kwenye equation hiyo ya ubora wa Azam.

huo ni USWAHILI. period.
 
labda kama mtoa mada kakosea kitu ila kwa kweli tumshukuru mzee wetu bakhresa kwa kuleta timu ya kisasa ambazo timu za simba na yanga pamoja na ukongwe wao waige huu mfano....timu ina miaka zaidi ya50 halafu makao mmakuu yake hakuna hata kiwanja ila kuna viazi tu vimemwagwa vikiuzwa.....je wachezaji watacheza juu ya hivyo viazi?ni aibu kwa simba pia na yanga......ni aibu sana......mkuu ni jipu hilo aisee.
 
Back
Top Bottom