K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Jul 26, 2016 #1 Takriban ni miaka mitatu sasa hawa jamaa hawajatangaza vima vya chini kisekta kwa makampuni binafsi. Swali rahisi tu wanawaza nini?...hapa napo kuna jipu!!
Takriban ni miaka mitatu sasa hawa jamaa hawajatangaza vima vya chini kisekta kwa makampuni binafsi. Swali rahisi tu wanawaza nini?...hapa napo kuna jipu!!