Hii tz inakoelekea!!mh!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
Wazee nimejust witnes mwendesha pikipiki amepikwa risasi ya taya,sinza near meeda! Hadi now haijajulikana waliompiga ni mapolisi au watu gani coz wahusika wamerun away! Wazee hii tz ya jk vp? Mbona kila kitu kinaenda wrong? Au jamaa ana gundu? Sijawahi kushuhudia jambo kama hili ndani ya tz!! Mwili wangu umesisimuka sana! Tunakoeleka 2takuwa kama angola,hadi housegirl ana bastola!!! Mungu 2saidia watz
 
wahusika waliompiga walikuwa wamevaa mavazi ya kipolisi au kiraia?kulikuwa na mazingira gani mpaka jamaa akapigwa risasi?fafanua kidogo
 
Wazee nimejust witnes mwendesha pikipiki amepikwa risasi ya taya,sinza near meeda! Hadi now haijajulikana waliompiga ni mapolisi au watu gani coz wahusika wamerun away! Wazee hii tz ya jk vp? Mbona kila kitu kinaenda wrong? Au jamaa ana gundu? Sijawahi kushuhudia jambo kama hili ndani ya tz!! Mwili wangu umesisimuka sana! Tunakoeleka 2takuwa kama angola,hadi housegirl ana bastola!!! Mungu 2saidia watz

:A S-omg:
 
Back
Top Bottom