Mifumo mingi ya serikali imefanyiwa majaribio na kuonekana inafaa zaidi, Wakulima wengi walitapeliwa hapo kablaMkuu Bibianna unatetea kitu usichokijua.
Stakabadhi ghalani ni aina nyingine mpya ya kuwanyonya wakulima...mfano mimi nimelima Dengu na wanakuja wanunuzi kununua ila Serikali inawakamata kwa kuwa hawaruhusiwi kununua......na unaambiwa peleka mazao kwenye ghala la Serikali kwa mfumo wa Stakabadhi ghalani.....huu ni upuuzi wa kupingwa
Mkulima saa anapinda mgongo kule shambani, serikali mlikuwa mnafanya nini? kwa nini utupangie tuuze wapi?
Ndiyo tunakuuliza wewe mtu wa TMX...utusaidie kwa nini hamlipi ontime?kwanini hawajalipa?
Mzee mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe.. 😂 😂 😂HEBU ELEZEA KIDOGO HII
hii si kweli lakiniMkuu Bibianna unatetea kitu usichokijua.
Stakabadhi ghalani ni aina nyingine mpya ya kuwanyonya wakulima...mfano mimi nimelima Dengu na wanakuja wanunuzi kununua ila Serikali inawakamata kwa kuwa hawaruhusiwi kununua......na unaambiwa peleka mazao kwenye ghala la Serikali kwa mfumo wa Stakabadhi ghalani.....huu ni upuuzi wa kupingwa
Mkulima saa anapinda mgongo kule shambani, serikali mlikuwa mnafanya nini? kwa nini utupangie tuuze wapi?
CCM ni Chama Cha MajiziMkuu Bibianna unatetea kitu usichokijua.
Stakabadhi ghalani ni aina nyingine mpya ya kuwanyonya wakulima...mfano mimi nimelima Dengu na wanakuja wanunuzi kununua ila Serikali inawakamata kwa kuwa hawaruhusiwi kununua......na unaambiwa peleka mazao kwenye ghala la Serikali kwa mfumo wa Stakabadhi ghalani.....huu ni upuuzi wa kupingwa
Mkulima saa anapinda mgongo kule shambani, serikali mlikuwa mnafanya nini? kwa nini utupangie tuuze wapi?
Tmx imeanza liniView attachment 3439721
Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka
Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa kutumia mfumo rasmi wa masoko kupitia Tanzania Mercantile Exchange (TMX). Kupitia mfumo huu, wakulima huuza mazao yao kupitia vyama vya ushirika kwa bei shindani, huku wakipata uhakika wa soko na malipo. Hatua hii imelenga kuondoa biashara holela, kuongeza uwazi, na kulinda maslahi ya wakulima.
Matokeo ya mfumo huu yamekuwa dhahiri, ambapo kiasi cha mazao kilichouzwa kupitia ushirika kimeongezeka kutoka tani 591,268.12 zenye thamani ya TZS trilioni 1.1 mwaka 2021 hadi tani milioni 2.23 zenye thamani ya TZS trilioni 4.2 mwaka 2025. Hii ni ongezeko la karibu asilimia 300, linalothibitisha mafanikio ya utekelezaji wa mfumo wa TMX katika kuongeza ufanisi na tija kwenye sekta ya kilimo
TAKATAKAYES ni hawa hawa,
Usipotoshe jamii, kama huna taarifa rasmi tulia.awamu 6