Hakuna ndoto hapo wewe kuna mpango unaujua fika kuhusu kitu hicho kinachotaka kutokea ila unatuzuga kuwa ndoto ila jamii intelejensi imezipata taarifa zako tena nikiunganisha ndoto zako na matukio ya polisi kuuwawa na kuporwa bunduki na hazijulikani zinaporwa kwa dhumuni gani na ni nani anadhamini huo mpango tena ikumbukwe tunaelekea kwenye kampeni sehemu ngumu kuwapekua wahudhuriaji wa mkutano. Tafadhari nyosha maelezo kama inavyotakiwa acha kuzuga kwa ndoto