Hii teua, tumbua siri imebumbuluka

nkungu mwere

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
258
336
Enyi mlioteuliwa na ambao mko kazini (hamkutumbuliwa)hii ni siri na msimwambie mtu,,,ukiteuliwa usithubutu kumkosoa au kumsema MEKO kwa njia ya ujumbe wa RUNUNU au mawasiliano ya RUNUNU,tena kama mnatumia mtandao fulani basi jiepusheni na kumkosoa hata anapokosea

Yaani ikiwezekana no yako ya RUNUNU unayotumia iwe ni ya kumsifu tu hata kwa sms. Yaani jifanye unamtumia mteuliwa mwenzako ujumbe ukimsifia MEKO hapo kama ulikuwa CD (geuza herufi) lazima uwe CR (geuza herufi)kama u hosen bhashe lazima uwe jafet hashunga,ole wako umwite mshamba kwenye rununu yako fahamu wasiojulikana watamwambia nawe utakuwa elifayo kudata,(japo yeye kashtuka)ndio maana anatumbuliwa na kuteuliwa.

Hivyo wateuliwa mliobaki msiziamini RUNUNU zenu hizo, ukiona mtu katumbuliwa jua RUNUNU pia imehusika.
 
Ime eleweka hiyo mkuu weka mpira kati washindwe wenyewe tu.
tapatalk_1567924067241.jpeg
 
Ni mtu tu asie na akili ndie anaefatilia hadi msg moja moja za wanadamu wanaowasiliana ili kujua kama umesemwa!

Muda huo unaupatia wapi?

Nchi ni kubwa na ipo chini ya msitari wa umasikini

Vitu ni vingi mno vya kufanya kuleta maendeleo kusaidia hawa wanadamu wanaoishi TZ!

Sijui huo muda wa kufuatilia nani kamsema nani anapata wapi huyu mtu!

Ndio maana tunarudi nyuma kila siku!

Kenya wanazidi kutupita kama tumesimama!

Anaweza akafa kwa pressure eti kwa kusemwa!

Hii dunia inachekesha kweli!

Hawa ndio tunawaita weak people with weak minds and weak will power!

Badala ya kuleta majawabu ya matatizo ya hawa wanadamu unaenda kutafuta msgs zinazokusema??

Really??
 
Unakumbuka mwenyekiti alivyomtumbua ZZK baada ya kudaka RUNUNU kuwa dogo anawania kiti cha mwenyekiti?
Maisha bila unafiki hayaendi.
Zitto nae ni mnafiki kama wanafiki wengine wanao mkosoa Yoane kwa kuwapekua mawasiliano wanachama wenzie wakati wao waliwapekuwa akina Zitto na wenzie, tena walienda mbali na kuwanyang'anya laptop zao kinguvu wachunguze kisha wakawafukuza na uanachama kwa kosa la kujaribu kutumia demokrasia yao ndani ya chama cha kidemokrasia ya kupinga wanayo hisi mwenyekiti wao anakosea.
 
Unakumbuka mwenyekiti alivyomtumbua ZZK baada ya kudaka RUNUNU kuwa dogo anawania kiti cha mwenyekiti?
hiyo tisa, baada ya mwenyekiti kugundua Lussu ana mpango wa kumngoa kwenye kiti chake nini kilifuata..acheni bwana jomba..
 
Inayofikirisha na kufurahisha ni ile ya mafumbo kuhusu CAG kuulizwa hadharani kama kuna fedha imepotea wakati taarifa inasema fedha haijulikani ilipo
usijafanye huna akili..kwa hiyo CAG alijibu bila kutumia akili..lakini. pia CAG alizungumzaje kuhusu ufisadi uliofanywa kwenye chama chenu chademaa..mabilioni mangapi yamefisadiwa ambayo hayajulikani yametumikaje..lakini pia hivi majuzi kuna bilioni.zimetoweka kutoka kwenye akaunti ya chama mnasemaje kuhusu hilo..mnadhani hatuwafuatilii....unajua kwanini wabunge.wenu.wamegoma kuendelea kukatwa mishahara yao kukichangia chama kila mwezi wakati hawajui zinakokwenda..nendeni mkaulize1 na hili
 
hiyo tisa, baada ya mwenyekiti kugundua Lussu ana mpango wa kumngoa kwenye kiti chake nini kilifuata..acheni bwana jomba..
Aliyepanga shambulizi la Lissu hata binti yako anamjua acha kujifanya Zuzu.
 
Aliyepanga shambulizi la Lissu hata binti yako anamjua acha kujifanya Zuzu.
jomba hujiulizi kwanini Lissuu anataka kuhamia ACT wazalendo..hata yeye ameshagundua mchezo wenu..hahahahahah mmeumbuka...Septemba 7 imepita zamani kule...chadema mlijifanya mnamuandalia mapokezi hahahhha, amewashtukia...mnamuandalia mapokezi mtu mliyetaka kumtoa rohoo
 
usijafanye huna akili..kwa hiyo CAG alijibu bila kutumia akili..lakini. pia CAG alizungumzaje kuhusu ufisadi uliofanywa kwenye chama chenu chademaa..mabilioni mangapi yamefisadiwa ambayo hayajulikani yametumikaje..lakini pia hivi majuzi kuna bilioni.zimetoweka kutoka kwenye akaunti ya chama mnasemaje kuhusu hilo..mnadhani hatuwafuatilii....unajua kwanini wabunge.wenu.wamegoma kuendelea kukatwa mishahara yao kukichangia chama kila mwezi wakati hawajui zinakokwenda..nendeni mkaulize1 na hili
Yaani huwa nashangazwa sana nikiona watu wanaelemea ujinga wa kutetea makosa SERIKALI kwa kulinganisha na madhaifu ya Chama tena kisichokuwa madarakani.
Hivi unadhani pesa zinazopelekwa CCM zikiliwa zote na Dr Bashiru itasababisha madawa kukosekana mahospitalini? Watumishi kutopata increments zao?
Iweje kwa Chadema? Msajili wenu, polisi wenu na mahakama yenu, kama CAG kaona kuna wizi wa ruzuku Chadema sii aagizwe msajili asimamishe ruzuku na waizi wapelekwe mahakamani? Hizi zote ni drama za kuelekea uchaguzi na za kitoto.
 
suala likihusu chadema ni drama za kitoto lakini zikihusu ccm ni sawa kabisa..mnashangaza..kwa kupenda kufichaficha mambo..mnaoneana aibu kutajana eeeh..mbona wenzenu ccm wanaweka wazi mambo yao..ukichemsha unabutuliwa..nynyi mnafichiana siri mkila.fedha za chama chenu..hahahah kweli wajinga ndio waliwao..endeleeni tu
 
Mtu analalamika eti kazi hii Ni ngumu, Hadi anakosa usingizi. Sasa Kama unafuatilia mawasiliano ya watu utapata wapi muda wa kulala??
 
Back
Top Bottom