TECNO Tanzania simu zenu miyeyusho sana. Nikishawahi kuwa na tecno, ukiiweka mfukoni inajiandika ujumbe na kujituma.
Kuna siku ikajituma kwa Baba Mkwe, " We fala wapi hiyo?" tecno ni zaidi ya bangi za Adam Mchomvu
mfano kwa sasa wamegundua hata baadhi yga samsung zinakumbwa na tatizo la kuwa nzito, wao wakaona waje na hili tatizo la kutocharge bila sababu mpaka uzime.