Hii tabia ya shemeji yenu inanikera, nakaribia kubwaga manyanga!

charrote

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
1,673
3,641
Jamani jamani huku ni kupatikana Au vepe

Yeye ni hensamu ana check number halafu yaani nilimpenda ghafla tu eti.

Shida sasa ukiomba mtoko mara oooh leo siko vizuri kwenye wallet na bla blah kibao

Sasa Mungu akisaidia mkitoka yaani wahudumu wakija hawezi tu kuagiza mpka aulize hii sh. ngapi hii shingapi? Yan mpaka naona

Kiukwel namuandalia mtego

Nmechokaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom