Hii tabia ya kuwa bize, na ukiona sms au voice call yao ujue wanahitaji msaada imeota manyoya katika jamii zetu.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Kama tittle inavyojieleza.
Nimeexperience hii tabia kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu.
Hawapendi kusalimiana kwa SMS au voice calls mara nyingi ukiona mtu hajakusalimia kitambo basi akikutext sms au kukupigia simu, sometime hata akikutext messenger ujue anataka umtatulie shida yake aidha ya kifedha, kazi au anahitaji mawasiliano ya mtu fulani.
Tusalimiane ndugu, tuache kuwa busy, na kama uko busy basi na siku ukikwama komaa kimya, endelea kuwa busy.
Mimi mtu anaponifanyia hayo niliyoainisha juu nachukulia kama kanidharau na ananiona pimbi.
 
Back
Top Bottom