Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,704
- 7,409
Halo JF.
Habari za pilika za hapa na pale. Niende madani.
Kuna watu kadhaa nimekuwa nikiongeanao vizuri tu ila sio marafiki sana kivile. Cha ajabu inakuja kutokea huyo mtu hakusalimii wala hafurahii uwepo wako mahali alipo. Ukimsalimia anaitika kinyonge au sauti ya chini bila kujua sababu ni nini.
Unabaki unasema huyu hatujagombana, sijamsema vibaya popote na wala kumtenda. Mbona wamenitenga au kanitenga ghafula? Hii pia yaweza kijumuisha marafiki wa jinsia zote ninaokutananao.
Humu JF kuna wajuvi wengi wa masuala mengi ya kidunia au kijamii, naombeni msaada wenu. Hii hali imenikumba sana ktk maeneo niliyoishi ktk usakaji wa maisha.
Natanguliza asante yangu kwenu kwa ushauri mzuri. Angalizo Mimi sio tajiri, wala siringi, ni muongeaji wa wastani, pia nina huruma sana, huwezi kuniomba kitu au kunikopa na ninacho alafu nikunyime.