Hii tabia dada zetu mmeitoa wapi siku hizi?


sasa hao dada zako unawazungumzia wako wapi kwenye uzi wako.heading ungeandika mke wangu hii tabia umeiokota wapi
 
naomba Dua kwa Mungu asiwe anapata safari za kikazi kwani najua akisafiri tu akirudi mziki ni ule ule wa kuchanjwa kunipima HIV/UKIMWI

Naombeni msaada wenu jamani nifanyeje au nimfanyeje huyu shemeji yenu.
Omba dua apate safari za chapu chapu kama tatu hivi halafu uwe unamlia timing! Akirudi tu, unamuwahi yeye kwamba twende ukapime VVU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…