GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,450
- 127,624
na yeye anakubali kupima au anakupima mwenyewe tu? Ukiona mtu akimshuku saaana mwenzake kuwa ni mwizi ujue na yeye ana element za wizi.
pole kwa matatizo yako kaka.au hakuamini mpaka afanye hivyo? ila kufanya hvo ana hakiki hajaingiliwa na virus katika njia yake so jaribu kumuweka na kumu hakikishia kuna unampenda na unamlinda muda wote,si unajua tena mwanamke akpenda anapenda kweli!
Sasa Huko Kunipenda Ndiyo Kila Siku Anidunge Misindano? au Ndiyo Ule Msemo Kuwa " AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA? ". Nateseka Jamani.
naye mwizi mwenzie
.....Muache aendelee kukutoboa toboa maana inaonekana kila akienda safari, hicho anachokifanya yeye ndo anahisi na wewe unafanya hivyo hivyo. Ongea nae vizuri mwambie we huna haja ya kumpima ila awe anakumbuka kutumia Kondomu huko anapoenda.
Ila pole Mkuu!!.
Uwe unasafiri naye!
Kuna sababu anaitafuta,ili ukigoma tu umekwisha.unajua sisi mabosi tunawapangia michepuko wetu safari nyingi ili tukawagegedee mbali unajua wanaume wengine wanoko sana.