Hii tabia chafu ya wanaojiita wachungaji wataiacha lini?

Mimi ndiyo maana hamna kanisa LOLOTE LA KILOKOLE ninaloamin
Mbona tena nilisikia juzi juzi mapadre wa kikatoliki wakiwa na kesi za kubaka watoto? Halafu siku si nyingi nilimsikia Ustaadhi aliyelawiti! Kama taarifa hizi ndio kipimo cha uhalali wa kuwepo kwa Mungu na hitaji la mwanadamu kumwabudu Mungu basi hakun popote panapofaa kuabudia.

Mimi nafikiri tuwe na tahadhali maana katika kila dini na madhehebu kuna feki na kweli. Uzoefu unaonyesha hakuna anayeweza kughushi kitu ambacho hakina genuine yake. Sijasikia mtu anatengeneza noti bandia ya 50,000 maana hakuna ambaye angedanganyika kwa vile haipo.
 
Back
Top Bottom