FAKE NEWS
Member
- Feb 16, 2017
- 59
- 160
Nimetembelea kwenye tovuti za wizara ya fedha, Mipango na BOT lakini kuna taarifa zimefichwa kwa sababu wametumia ujanja wa kumwaga taarifa nyingi ambazo ziko outdated na zingine hazisemi chochoke kuhusu hali ilivyo na mbaya zaidi hakuna list ya madden tuliyonayo ya miaka 10 au 5 iliyopita
Kwa sasa nimeshindwa kupata taarifa zifuatazo:
1. DENI LA NJE KWA UJUMLA NI KIASI GANI IN USD
2. MULTILATERAL AGENCIES ZIPI ZINATUDAI
3. PESA WALITOA KWA JILI YA MRADI IPI
4. JE RIBA NI KIASI GANI KWA MWAKA WANATUTOZA?
5. PESA TULIZOPATA KUPITIA BILATERAL NI KIASI GANI IN USD
6. PESA ZIMEENDA KWENYE PROJECTS ZIPI?
7. JE TUNALIPA INTEREST KIASI GANI?
8. JE TUNA DEBT LIMIT YA KUKOPA PESA ZA NJE?
9. JE DEBT LIMIT INAWEKWA NA NANI?
10. JE TUKITAKA KUKOPA ZAIDI INABIDI IDHINI ITOKE KWA NANI?
11. JE FOREIGN RESERVE YETU NI KIASI GANI (USD)
12. JE GOLD RESERVE ZETU NI KIASI GANI NA JE ZOTE ZIKO NDANI YA NCHI AU ?
13. TUMEENDA KUKOPA KWENYE FINANCIAL INSTITUTIONS ZIPI ZA NJE?
14. TUMEENDA KUKOPA KIASI GANI?
15. HAO WAKOPWAJI WANATUCHAJI RIBA, GRACE PERIOD NA SERVICE CHARGES KIASI GANI?
Kilichonifanya niulize haya maswali ni kuwa serikali yetu tukufu sasa inataka kukopa kiashi cha 27.6 trillion ($12.3 billion)
Wakati huo huo serikali hii imeazimia kuwa na matumizi ya trillion 107 trillion ($47.9 billion) kwa miaka 5 ijayo kwa ajili ya miradi mbali mbali kama vile LNG, reli, na viwanda karibu na bandari ya bagamoyo
Wakati huo huo serikali iko bize ipate credit rating toka kwa taasisi mbali mbali ili pate kukopa bila kusahau pesa zingine za kiasi cha $800 million za Eurobond
Serikali hii hii mwezi uliopita ilipeleka bakuli la kuomba $1.3 billion toka kwa world bank
Kwa hesabu za haraka haraka ni kuwa zaidi ya asilimia 40 ya pesa za maendeleo ambazo serikali inataka kukopa zitatoka kwa foreign investors. Lakini wasi wasi wangu ni kuwa Hatupewi taarifa za kutosha kuhusu pesa tunazokopa na zimefanya nini na walau tukajua foreign reserve yetu ni kiasi gani na kama kweli gold reserve zetu ziko ndani au nje ya nchi
The bottom line nadhani kuna umuhim wa Mheshimiwa Rais kukaa chini au kushauriwa namna ya kuondoa RED TAPE kwenye biashara, na vibali serikalini ili aweze ku unleash private sector