HII SIO SAWA!!!!

Jina: kipepe comrade Kipepe
Kazi: Mfanyabiashara
Nickname: JUNGLE MASTER

Mbele ya upeo wa macho yako, nikiwa Nina masikitiko makubwaaa, aseeee!!

Ebanaaae mida hii wakati natoka mishe zangu nikiwa karibu na home Mara naskiaa "uuwiii! Uwiiii! Uwiiii!"

Duhh!
Nikaona niwahi chapuuuu kufika kumbe ni nyumba ya jirani pale watu wamejaa njeee kibaooo, nikauliza kunanii wananiambia huko ndani baba sofi anampiga sofi kipigo cha mbwa mwizi baada ya sofi kuchelewa kurudi nyumbanii...

Ikasikika sauti ya mama sofii;
"baba sofiaaa unaniuliaa mwananguuu!!!! Majiraniii"!"

Ohooooo Mara nikasikia TOCHOOOOOO!!!


Asee Mara Sofia katoka analia huku jicho moja limeivaa kama nyanyaaa, kumbe ile "TOCHOOOOO!!!!" ni ngumi ya jicho alipigwa na baba yakeee!

Duh ndio wamama wanampeleka hospitali hapaa dogo analiaaa mbayaaa

Baba sofi kazingua hiii adhabu gani sasaaaa!



******

WAZAZI TUANGALIE NA AZABU ZA KUWAPA WATOTO


Mimi shaaaaaaaaaaa!!!!
Kama mshaleeeeeee
Wayaaaaaaaaa!

KING OF THE JUNGLE!!!
Yuleeeeee
Nimesoma kwa umakini ila ulivyomalizia mkuu umeniacha hoi,ukayeyuka Kama barafu vil!!!
 
Back
Top Bottom