kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,089
Weka chats tuone tufaifike uoigwe ban
Pole sn bro lakini kutoka majimatitu hadi tabata nauli si shs 1000 tu
Sasa si umpotezee tu kwa buku kitu gani
Kadhaa.Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa
Hiyo tu mkuu,msamehe tu...Nilimtumia 4800
Mwanaume mzima unaanzisha thread ya kumdai mwananmke TZS4,800?
Ndio maana hakuja wenzako tunatuma elfu 30 au 40 au 50 inategemea na status yakeNilimtumia 4800
Sh ngapi mkuu?Nampa masaa 12 asiporudisha hela naanika chat
Pole sana mkuu,inamana hujui kwenye kubet kama kuna kula na kuliwa??
Sasa wewe umeliwa mkuu
Ukajiona mjanja kwa kuweka 800 ya kutolea
4800 ni ndogo sana inawezekana alikuwa anakuja akakutana na foleni sasa hiyo hela hata hawezi kushuka katika daladala akachukua bodaboda
Siku nyingine tuma mzigo wa maana at least elf 30
Maajabu tz hayaishi...wanaume sikuhz hamnaMwanaume mzima unaanzisha thread ya kumdai mwananmke TZS4,800?