Hii Simu Tecno Camon X bei gani?

Tecno Smart phone ipi ambayo ina internal memory kubwa na inakaa na chaji muda mrefu?
 
Mungu anisaidie nisije kuingia kwny tecno
 
hizo zote simu za ajabu ajabu hamna bora hapo, kwanza zinapiga shoti sana,, bora nibaki iphone x yangu, haina mpinzani.
 
Wakuu nna mpango wa kuchukua Techno Cm hivi karibuni mwenye uzoefu nayo comment chochote. Bei ni 340
OS: Android 7.0 Nougat
4G LTE: Yes
Fingerprint: Yes
Screen Size : 5.7 Inches HD IPS Touchscreen
Screen Resolution: 720 x 1440 pixels (364 PPI)
Processor Type: Quad-core 1.25 GHz Cortex, Mediatek chipset
RAM: 2GB
Internal Storage: 16GB.
External Storage: microSD, up to 128GB Back Camera: 13MP LED Flash
Front Camera: 13MP with LED flash
Battery: 3000 mAh (non-removable)
 
Chief tunaomba ufanye verification ya akaunti yako watu tupate unafuu wa kuwasiliana na we we

camon x au x pro? maana inaonekana zipo mbili

redmi 5 ni kama camon x na redmi 5 plus ni kama camon x pro.

xiaomi ina battery kubwa na overall perfomance yake itakuwa kubwa kuliko hio Honor 9,

sijacheki camera na vitu vyengine vidogo vidogo. unaweza kwenda youtube kwa camera comparison.

kama unataka optimization tafuta mi A1 ambayo inatumia stock android.

Miui ambayo inakuja na xiaomi nyingi si katika interface ambazo ni nyepesi, na hili lipo kwa wachina wote kina huawei hadi Tecno.


color os siku hizi ni kama miui tu, sababu zipo bloat za kutosha. labda useme angalau oxygen os ya oneplus
 
mkuu samahan hiyo ni bei hqdi inakua mkononi mwangu???.....
na je nikitaka kuagizia kupitia wewe jumla gharama itakua shingapi??...i mean kila kitu hadi naipata mkononi...asante...


naomba msaada mkuu msauzy

cc:msauzy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]Hajamfikia mnyama wangu ase samsung tudumu
 
mkuu samahan hiyo ni bei hqdi inakua mkononi mwangu???.....
na je nikitaka kuagizia kupitia wewe jumla gharama itakua shingapi??...i mean kila kitu hadi naipata mkononi...asante...


naomba msaada mkuu msauzy

cc:msauzy

Yap... Kwa exchange rates za leo ni TZS 290,424, ukitaka kuagiza kupitia mm utanilipa 20k, ila ni kwa wakazi wa Dodoma. Nakushauri umtumie Mwl.Rct atakufikishia popote ulipo,
Ahsante.
 
Yap... Kwa exchange rates za leo ni TZS 290,424, ukitaka kuagiza kupitia mm utanilipa 20k, ila ni kwa wakazi wa Dodoma. Nakushauri umtumie Mwl.Rct atakufikishia popote ulipo,
Ahsante.
sawa mkuu..
 
Wakuu hii simu anaeifahamu vizuri anifahamishe maana inaukubwa wa nchi 6 na swali langu inauzwa bei gani kwa sasa ktk maduka yao? Je Tecno sasa wamekuja na ubora mpya wa hii Camon X? Karibuni.

Subilia oneplus 6 may 16 2018.
 
Tecno nawakubali kwa kamera tu si kingine
Sasa hizo Tecno zenye camera nzuri bei yake inakuwa kubwa mnoo, kama hii Camon X.... Ndio maana tuna recommend Xiaomi Redmi coz ya unafuu wa bei. Simu ya Tecno inayouzwa 550k uki compare na simu ya Xiaomi yenye specs kama hizo hizo za Camon X unaipata chini ya 350k, tena inaweza kuwa ni nzuri kuliko hiyo ya Tecno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…