News Alert: Hii sheria kuna Umuhim wa Kuboreshwa (Hoja)

mtugani wa wapi huyo

JF-Expert Member
Dec 5, 2012
1,239
1,475
Wakuu leo imehukumiwa Kesi ya Bw mdogo mmoja ambae amempa Mimba Mwanafunz na Kahukumiwa kifungo cha Miaka 30 na fain ya pesa Taslim Tsh 4M

Kiukweli nimejaribu kuwaza kwa Sauti
Binafs sipingani na Sheria lkn naona kama Sheria imekuwa kandamizi upande mmoja
Maana hawa watu mpaka kufikia kupeana Mimba basi ni wapenz wa Muda hapa sizungumzii Wabakaji

Binafs napendekeza hizi Adhabu zingegusa Pande zote Mbili
Kwamba Mwanaume anahukumiwa Myaka 30 na Bint aliekubali naeahukumiwe walau Myaka 15

Hapa kwa kiwango kikubwa tungekomesha Tatizo hili

Pili wale watakao Thibitika kuwa wamebaka basi wao Adhabu iwe kifungo cha Maisha

NAWASILISHA
 
Una mawazo mazuri. Sheria ya ubakaji iko wazi, kifungo kinaanzia miaka 30 hadi maisha jela, kutegemea na muathirika wa ubakaji na mazingira yenyewe. Muathirika wa ubakaji hatakiwa kufungwa, maana kaonewa tu. kwa wale wapenzi, kama binti yuko chini ya miaka 18 ni kubaka tu, hata kama binti kahiari mwenyewe
 
Sasa Mkuu vipi hao walopeana Mimba wote wakiwa chin ya Myaka 18
 
Wakuu leo imehukumiwa Kesi ya Bw mdogo mmoja ambae amempa Mimba Mwanafunz na Kahukumiwa kifungo cha Miaka 30 na fain ya pesa Taslim Tsh 4M

Kiukweli nimejaribu kuwaza kwa Sauti
Binafs sipingani na Sheria lkn naona kama Sheria imekuwa kandamizi upande mmoja
Maana hawa watu mpaka kufikia kupeana Mimba basi ni wapenz wa Muda hapa sizungumzii Wabakaji

Binafs napendekeza hizi Adhabu zingegusa Pande zote Mbili
Kwamba Mwanaume anahukumiwa Myaka 30 na Bint aliekubali naeahukumiwe walau Myaka 15

Hapa kwa kiwango kikubwa tungekomesha Tatizo hili

Pili wale watakao Thibitika kuwa wamebaka basi wao Adhabu iwe kifungo cha Maisha

NAWASILISHA
Wapime DNA mtoto akizaliwa kukazia hukumu
 
Back
Top Bottom