Hii sasa sifa

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Demu kama hawa hawasumbui kwenye unyumba, nikiasi cha kuvuta nywele tu anasogea mwenyewe
 
Attachments

  • 1430741550422.jpg
    50.4 KB · Views: 755
  • 1430741565203.jpg
    33.9 KB · Views: 623
  • 1430741582275.jpg
    46.8 KB · Views: 608
  • 1430741602647.jpg
    35.3 KB · Views: 603
Kuna mamq mmoja wa Kijapan nilikutana nae Airport alikuja kwa mara ya kwanza Africa, kitu cha kwanza alisifia sana kuwaona wanawake wa hapa wakiwa na nywele ndefu...maskini hakuamini nilipomwambia kuwa ni artificial...
 
Hahahahaa na sisi tunajiona tuna ndefu tutaonekana vituko mbele ya wenyenazo.
 
sabuni itakuwa inaisha sana kwenye kuosha...
 
Demu kama hawa hawasumbui kwenye unyumba, nikiasi cha kuvuta nywele tu anasogea mwenyewe
Salaleh! Huyo anayepimwa urefu wa nywele hapo katikati naona futi imefika mita nne!
 
Mwanamke nywele na khasa Ukiwa nazo....
 
Maandiko ya Mungu yenyewe yanasema kila kitu ni kiasi,Mithali 25:16-17 Je! Umeona asali? "Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika." 17 "Mguu wako" usiingie nyumba ya jirani ila "kwa kiasi" Asije "akakukinai na kukuchukia".Kila jambo ni kwa kiasi,ukizidisha au kupunguza ni dhambi,Galatia 5:18-21....21 husuda,ulevi,"Ulafi",....ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.Yesu akasema "..Basi,jingalieni,mioyo yenu isije ikalemewa na "ulafi",......huyo binti amepitiliza kipimo akifikiri ni sahihi,kumbe si sawa kwa wa andiko la Mungu.
 
Je kama haamini dini kama zako inamuhusu nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…