fdizzle JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,902 Reaction score 2,405 Oct 29, 2019 #1 Kama inavyoonekana hapa chini.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 29, 2019 #2 Hakuna picha isiyoongea mengi. Ila tatizo la watanzania ni kutafuta attention kwenye kila kitu. Hata mtu akinya watasema haya mavi yanaongea mengi.
Hakuna picha isiyoongea mengi. Ila tatizo la watanzania ni kutafuta attention kwenye kila kitu. Hata mtu akinya watasema haya mavi yanaongea mengi.
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Oct 29, 2019 #3 Porojo tu Hao ni wachumia tumbo ambayo mirija yao imezibwa,mirija ikifunguliwa mtawachukia