K Kyampisi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 270 Reaction score 190 Sep 6, 2016 #1 Ni huko China kwenye mkutano wa G20, Putin & Obama.
Kaz kaz Member Joined Nov 30, 2015 Posts 72 Reaction score 66 Sep 6, 2016 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,998 Sep 6, 2016 #3 Take it easy
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,326 Sep 6, 2016 #4 Yaani huyu andunje ndio anatusumbua hivi ? Sijui nimkate katafunua ? Ila bahati yake yuko na mkewe pembeni naheshimu sana wanawake ,Hamna lolote kujitetea tu anajua moto wa Putin angemfanya mfupi ndani ya sekunde kwa kuvunja hiyo milonjo
Yaani huyu andunje ndio anatusumbua hivi ? Sijui nimkate katafunua ? Ila bahati yake yuko na mkewe pembeni naheshimu sana wanawake ,Hamna lolote kujitetea tu anajua moto wa Putin angemfanya mfupi ndani ya sekunde kwa kuvunja hiyo milonjo
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,210 Reaction score 50,833 Sep 6, 2016 #5 putin yupo tayari kumzimisha huyo chotara muda wowote kikinuka cheki position ya mkono hapo diaphragm ya obama ni halali yake lakini pia throat na kidevu cha obama ni hlali ya putn
putin yupo tayari kumzimisha huyo chotara muda wowote kikinuka cheki position ya mkono hapo diaphragm ya obama ni halali yake lakini pia throat na kidevu cha obama ni hlali ya putn
Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,161 Sep 7, 2016 #6 Dawa ya jeuri ni kiburi.
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,458 Reaction score 3,590 Sep 7, 2016 #7 ***** ******** ********* *******
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,119 Sep 7, 2016 #8 Kiboko ya Putin ni Trump
iw8 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 366 Reaction score 293 Sep 7, 2016 #9 Kyampisi said: Ni huko China kwenye mkutano wa G20, Putin & Obama. View attachment 395136 Click to expand... Toll anamwambia short " nime kumind kinomaa, wee ingia tuu kwenye 18 zangu"
Kyampisi said: Ni huko China kwenye mkutano wa G20, Putin & Obama. View attachment 395136 Click to expand... Toll anamwambia short " nime kumind kinomaa, wee ingia tuu kwenye 18 zangu"
RIZIKI ALLYS MUHUNZI JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 637 Reaction score 779 Sep 7, 2016 #10 Mbona ya kawaida kwani wewe umeitafsiri vp
G gwajas2321 Member Joined Sep 6, 2016 Posts 6 Reaction score 2 Sep 12, 2016 #11 Naona hasira kwambali [emoji3][emoji3][emoji3]
MU-ARSENAL JF-Expert Member Joined Sep 21, 2012 Posts 956 Reaction score 597 Sep 12, 2016 #12 Miamba imekaziana
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Sep 12, 2016 #13 Wote wana hasira
Juma chief JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 2,764 Reaction score 2,368 Sep 12, 2016 #14 Ya kaisari..... [emoji57][emoji57]
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,134 Sep 12, 2016 #15 Yan ukiangalia sura ya putin tu unajua kuwa huyu mzee ni jeuri