Na huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi utaelewa