kwa hawa hapana, hakuna rais hapo labda tumtarajie mwingine! wanayo sifa moja inayofanana kwa wote watatu ni kwamba wanapenda sana umaarufu wa haraka haraka, na mara nyingi huwa wanakurupuka na hoja ambazo hawajazifanyia upembuzi wa kutosha. Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, hivyo inahitaji mtu makini mwenye utulivu wa akili, hawa jamaa wanafaa zaidi kwenye nafasi ya kusimamiwa!