HII PICHA IGUNGA: University of DSM Alumni CUF, CCM, CHADEMA are these guys our future Presidents?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
301685_272551546099599_100000342668655_964495_1783346900_n.jpg



Julius Mtatiro - CAF attended UDSM

Mwingulu - CCM attended UDSM

ZITTO Kabwe - CHADEMA attended UDSM

Mwingulu & Kabwe did attend UDSM together ...

Masters - Mwingulu - UDSM

Masters- Kabwe - Germany

* HAWA NI MARAIS WETU WA BAADAYE? ARE THEY THE BEST OF OUR PEACE FOR THE FUTURE IN OUR BELOVED COUNTRY?
 
Zitto is a presidential material, ila Mwigulu would better suit kwenye utumishi... uwezo wake wa kujenga hoja unatia shaka

halafu na ile ya kutafuna kisusio cha mwenzake imemharibia sana
 
Mimi pia naona Zitto anaweza kuwa Presidential Material ... in about 10yrs

Mtatiro anahitaji a lot of political polishing

Mwingulu huyu anahitaji kwanza kuacha siasa za ufitini za CCM na atakuwa kiongozi Mzuri anajua kushawishi kweli
 
kwa hawa hapana, hakuna rais hapo labda tumtarajie mwingine! wanayo sifa moja inayofanana kwa wote watatu ni kwamba wanapenda sana umaarufu wa haraka haraka, na mara nyingi huwa wanakurupuka na hoja ambazo hawajazifanyia upembuzi wa kutosha. Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, hivyo inahitaji mtu makini mwenye utulivu wa akili, hawa jamaa wanafaa zaidi kwenye nafasi ya kusimamiwa!
 
umetumwa wewe!!zitto,mtatiro hata wakina mwigulu ni kielelezo cha kushindwa siasa zetu!!!!!!ok kwako zitto is a presidential material,like mtatiro!!but take a point wote hao tungekuwa katika jamiii iliyotukuka hao wote wangekuwa kama wewe na wenzako wengi mlivyo!!wako hapo kwa sababu ya biased politics!!!!!!hii ni topic yenye hoja nzito twaweza ijadili ukitaka!!!!
 
Mwigulu hafai maana anaongea uongo huku akionyesha Jazba kali. Kiongozi wa dizaini hiyo hafai.
Mnyaturu awe Rais?
 
seems to be contented with what you see with your eyes but do not forget there are 50m Tanzanians out there totally different from these few faces you are showing and even those you know!
 
Mwigulu hatufai anaweza akamaliza wake zetu, ila zito na mtatiro wanaweza lakini inabidi waongeze nguvu katika siasa zao uchwara
 
unaongelea urais gani maana kuna urais wa aina nyingi kama rais wa tff tanzania,rais wa tucta tanzania,
 
Kwanza nakubaliana na hoja yako kuwa rais wa nchi hii mwenye uchungu lazima atoke UDSM.Zaidi ya hapo hafai.ILA ULIOWATAJA HAPO JUU MWIGULU NCHEMBA NI KIBOKO NA ANAFAA.KWANZA DEGREE ZOTE MBILI KASOMEA CHUO KIKUU CHA TAIFA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom