Hii PC ina tatizo gani?

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
3,084
Reaction score
6,155
Nimekua nikiunganisha simu (smartphone) kwenye PC na kuitumia kama modem kwa muda mrefu, lakini ghafla imenigomea, inaniandikia "USB Device Not Recognized"....inakataa kuonekana/kusoma.

Je, tatizo ni nini, na nifanyeje kutatua?

Ahsanteni.
 
Tatizo hapo ni waya wako umeleta shida sehemu ya data... So badili usb.
 
Nashukuru wakuu, ngoja nifanye kama mlivyonielekeza.
 
change USB or port.....

hii utokea endapo USB inaelekea kuchoka
 
mimi nimejaribu kutumia usb tofauti tofauti ila imekataa kabisa..

kuna mda inasema usb not recognized na mara nyingi ina chaji tuu lakin kwenye pc aionekani..

nikichukua usb inayokataa kwenye pc yangu nikajaribu kwa pc nyingine inakubali tena bila shida..

tatizo ili linanisumvua kwa muda mrwfu sasa...siwezi kutumia pc yangu kucopy vitu kutoka kwenye sim..inanilazimu nichukue flash niende kwenye pc ya mtu niunganishe sim nicopy kwenye flash ndio nije niweke kwenye pc yangu...waungwana naomben msaada katika ili

pc yenyewe ni dell
 
bila shaka ni window
  • 8
  • 10
au sio?

then iyo huwani MTP driver ndo shida

kufix jaribu kutumia

  • driverbooster
  • drivereasy

chomeka simu yako then scan by using any software above
 
bila shaka ni window
  • 8
  • 10
au sio?

then iyo huwani MTP driver ndo shida

kufix jaribu kutumia

  • driverbooster
  • drivereasy

chomeka simu yako then scan by using any software above
Mimi yangu ni window7, inasumbua balaa, ngoja nifanye kama ulivyoelekeza hapo juu, maana nimebadili waya na port lakini tatizo bado lipo. Kama kuna njia nyingine zaidi nijuze mkuu nitatue hili tatizo.
 
fanya hiyo kwnza
 
I can help to solve you issue. lakini hata sijui nianzie wapi kuandika
 
Mimi yangu ni window7, inasumbua balaa, ngoja nifanye kama ulivyoelekeza hapo juu, maana nimebadili waya na port lakini tatizo bado lipo. Kama kuna njia nyingine zaidi nijuze mkuu nitatue hili tatizo.
Jaribu ku tether badala ya kutumia cable! Nenda wireless network kwenye computer yako. Upande wa chini kulia, afu upabinye.

Kisha nenda settings kwenye simu yako, binya wireless network tafuta tethering afu ubinye, utafute zile codes ujaze kwenye pale ulipobinya kwenye computer kisha ruhusu connection.
 
mkuu hizo codes unazipata wapi.....huwa sielewi namna ya kuzipata
 
bila shaka ni window
  • 8
  • 10
au sio?

then iyo huwani MTP driver ndo shida

kufix jaribu kutumia

  • driverbooster
  • drivereasy

chomeka simu yako then scan by using any software above

mkuu nakwama kwenye kutafuta iyo wireless kwenye cm,au unamaanisha hotspot??
 
mkuu nakwama kwenye kutafuta iyo wireless kwenye cm,au unamaanisha hotspot??
hotspot ndio kama unataka kutumia wireless kutoka kwa simu yako kwenda kwa pc....washa hotspot kwa simu
 
Kma hyo option nliyokupa aijawork bas hapo tatizo ni driver! Ingia google type samsung mobile driver then install afu restart ur pc(hata kma simu yko sio samsung haina tatizo as long as ni android os)
 
Install driver pack solution
 
hotspot ndio kama unataka kutumia wireless kutoka kwa simu yako kwenda kwa pc....washa hotspot kwa simu

Hapa Tanzania tunasema “kwenye simu,” sio “kwa simu.”

Una makaratasi ya ukaazi hapa au tuku deport urudi Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…