Hapa kibaha mail moja kuna lundo la wahindi wanafika 200 wanalala hotel inaitwa apaikunda hotel karibu na kiwanda cha mmbu yaan ni wengi mno isitoshe wanatembea ovyo na wake za watu hebu njoon msiishie huko dar mje mtuondolee pia kuna wavetnam wachina kibao hapa hapa mail moja na hawa wa khuba mamaaa usiseme hv huu mji wa mail moja hamna emagretion au idara ya kazi ? Maana ni aibu ajira n shida vijana wameishia kifanya matukio ya wizi ebu njoon okoen mtutolee hawa wahamiaji