SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Wakuu hii ni zawadi ya kinywaji ambayo kampuni Fulani imeamua kuwagaia wateja wake na ni mmoja kati ya wateja nilobahatika kupata mojawapo ya zawadi hii,Sema Mimi Kwa kuwa ni fikiri mdadisi sikutaka kukivamia kinywaji hik Kwa pupa nikachunguza tarehe ilotengenezwa na siku rasmi kitapoharibika nkagundua trh 25 mwezi huu wa kwanza mwaka 2016 ndio ukomo wake unafika.
Je nyiny great thinkers mnaonaje nikinywe au nkitie kwenye dustbin
Happy new year Wote ambao hatujatakiana her ya mwaka mpya bado
Je nyiny great thinkers mnaonaje nikinywe au nkitie kwenye dustbin
Happy new year Wote ambao hatujatakiana her ya mwaka mpya bado