Hii ni Tanga, ujumbe umefika

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365

Hapa ni Ngamiani-Tanga na hii ni biashara ya mtu, na huu ujumbe huenda ZAIDI ukawahusu mashosti au mawifi wa mteja. Yes, Ujumbe umefika. Kwa kawa.

​
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
 
Ukiwa mgeni halafu chakula kimefunikwa kwa hilo kawa, utajikata kislesi kabla ya kukarishwa chakula.
 
Ukiwa mgeni halafu chakula kimefunikwa kwa hilo kawa, utajikata kislesi kabla ya kukarishwa chakula.
Msosi unaliwa na mpenzi wako anaibiwa na wewe utabaki kuandika mpaka mlangoni lakini wapi?simba mkali na masharubu ananguruma lakini anabiwa mpenzi wake na hana la kufanya chezea tamu ya ngono weye?
 
Reactions: irk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…