Hii ni sodoma na gomola

huyu atakua ni pimp au kuwadi ana promote hao malaya wake wapate wateja apate % yake ya kula sikukuu, mambo magumu
 

Humpati mtu hapa,biashara zako fanyia huko huko kwa wasaga sumu.
 
Au wewe mnyalukolo ndio unauza papuchi??
 
Sio uko tu mkuu....ata Mwanza pia nilipita mitaa ya uwanja wa KIRUMBA kuanzia saa moja na nusu usiku yani ni Balaa...wanawake walikua wengi wanajiuza na kwa apo kuna Bar zipo jiran km Villa na Kiss yani ufirauni na kila aina ya uozo unaendelea apo....Serikali ipo lakini wanafumbia macho imekua ni kero maana asubuhi utakuta condoms zimezagaa kwenye makazi jirani na uwanja wa KIRUMBA....
Mh TingaTinga kuna JIPU pale kirumba na Vila club la UZINZI uliokubuhu
 

Cha kusikitisha na wewe unawatangazia biashara
 

Navoo na karibia kila mkoa hawa wadudu WaPo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…