Hii ni sodoma na gomola

Mwanairinga ni kweli. Nilikuwa naenda mbagala leo asubuhi kupitia mbozi road nikapita hapo nipate mtori. Saa mbili asubuhi watu bado wanakesha mchana. Kwa kweli niliogopa sana aisee. Sio akina mama, akina Dada. Dah. Ila kuna sura niliziona kama sura za kazi. Wakishapiga usiku wanakuja pale kula bata.
 


Ndiyo hivo mkuu ila watu wanabisha hawajui mkuu
 
Makahaba watawatangulia kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
source- Bible



wanatambuliwa na akaaye juu ya kiti cha enzi yule ambaye mleta mada anadai kuwa ana hofu yake.
 
Makahaba watawatangulia kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
source- Bible



wanatambuliwa na akaaye juu ya kiti cha enzi yule ambaye mleta mada anadai kuwa ana hofu yake.

Mimi cijaona hiyo bible labda yako!
 
Moderator sidhani kama ni haki kuweka namba za simu za watu mtandanoni bila ridhaa yao.
 
Last edited by a moderator:

Wapewe na zile mashine za TFD sijui..ili waweze kutupa risiti tukaoneshe wake zetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…