Hii ni sodoma na gomola

Kwa ndani naona kama mtoa mada una hasira na hao wanawake kwa hiyo umeamua kuwachafua mtandaoni kwa kujua usumbufu watakao upata baada ya kutoa namba zao humu
 
Sasa mkuu hizo namba ni za nn au mmejiunga Jf juzi nn?? ndo mmekuja na staili mpya ya kupeana namba za machangu nn hapa Jf sio ishu mkuu na post zako 58 hizo.


Sisi tunapiga vita hizi mambo mkuu!
 


Pale hapafai Cijui polisi wanaona au hawaoni hii mambo!
 
Ungeweka na picha kabisa mkuu isije mtu akaopoa 'bwabwa'
 
Unapiga vita au unatangaza biashara ya eneo lako hilo mkuu
 
Kwa ndani naona kama mtoa mada una hasira na hao wanawake kwa hiyo umeamua kuwachafua mtandaoni kwa kujua usumbufu watakao upata baada ya kutoa namba zao humu


Inasikitisha xana mkuu!
 
Ciyo mimi mkuu mimi ninakipato changu mkuu kwanza ninahofu ya mungu!

Unahofu Na Mungu alafu unawaonyesha watu njia, ya kuwafikia hai Malaya tena unadiriki kuweka namba zao. Kama umeona ungekaa kimya ungepungukiwa nini, eti Una hofu ya Mungu kweli hofu ya Mungu wewe. Mtu kwenye hofu ya Mungu eneo hili atakua anapita njia Tu, sasa hizo namba za siku umeziptaje Kama si mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…