Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Sep 1, 2015 #2 Hakipo kinywaji ninachokipenda.
PAKAYA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 362 Reaction score 169 Sep 1, 2015 #3 acheni kutamanishana bhanaaa walai sina chama wala simshabikii mtu ila hayo mambo ndo chama changu cha dhati kabisa hili ni kutoka moyoni ntupie walau pushkin moja
acheni kutamanishana bhanaaa walai sina chama wala simshabikii mtu ila hayo mambo ndo chama changu cha dhati kabisa hili ni kutoka moyoni ntupie walau pushkin moja