Hii ni sawa?.


Huyu Jamaa Kahaso Sana Kwa Hii K,Na Ndio Maana Anataka Waonane Ili Wazungumze!
Ina Maana Hakuna Siku Ambayo Anapata Mda Wa Kuonana Na Jamaa?
 
Ukiona manyoya ...................
 
Mi Najua Machungu Aliyo Nayo Ndugu Yangu!..Hizi Sketi Sijui Zina Lengo Gani Na Nafsi Zetu!?
Pole Sana,Mi Naomba Legeza Upendo Na Usumbufu Kwake Kama Ndugu Yangu MASALAPA livyokushauri!
 
Tena Ashukuru We Jamaa Una Uvumilivu Sana(Sijui Upole?)
Aisee Nami X Wangu Nilizama Kwake,Kila Wiki Nilihitaji Kumuona Ila Akaletaga Kama Hizo Za Wako,Mi Sikuchelewa Kumpa Makavu Na Kukata Mawasiliano,Baada Ya Mda Akawa Makini Ila Ndo Tulishindwana...Mpaka Sasa tumeachana Wakati Bado Nampenda Saaaana!!
 
Kama kweli unampenda, jaribu kufanya utafiti kama hana mtu mwingine maana hali kama hizo zinaashilia kutopedwa au kuwa na mtu mwingine.
 
pengine inawezekana anaogopa kutoka naww kwa kilikinachodaiwa ni tabia za mabinti walokole na vp www umeshatambulishwa hapo kwao nakama ni tayar kwann asiage anakuja kukusalimia na kama hujatambulishwa basi inawezekana ana waswasi
 
Ila Hizi K Zinatuburuza Kweli Kiongozi,Na Ndo Maana Wengine Tunadil Na Toy!

achana na utamu huu....mie ilisaacha ujinga wakujidai ku-fight it. bora nipate rutamu ka raha zangu
 
Wewe huyo siyo mchumba. Nijuavyo mchumba ni mtu ambaye umeshaenda mpaka kwao kujitambulisha. na saa yoyote akiaga anakuja kwako njia ni nyeupe. Hapo sasa hivi unacholilia ni uzinzi tu. Mtoto wa watu anajiuliza mara mia hivi huyu jamaa akinitoboa atakubali kuendelea kuwa na mimi? ndo maana haji. na ataendelea kufanya hivyo hivyo mpaka ukajitambulishe kwao, ukionyesha nia mzigo utapata. Kajitambulishe.
 

pole sana kaka. Fanya hivi
kama kweli ana mtu mwingine anamzingua utajua tu. Fanya kupuuzia kama unataka kumwacha. Yaani kama ulizoea kupigia simu mara 5 kwa siku punguza au acha, asipoulizia mabadiliko yeyote anayoyaona kwa ko..baba lala mbele. Shukuru mungu kaanza kuoonesha kucha mapema kabla ya mikataba ya kudumu..utoe moyo kwenye mafuta ya transifoma kaka pliz
 
Hiyo K ni ya kupiga chini tu wewe,


 
huyo achana nae haraka sana kabla hajakuchanganya zaidi maana inaonekana umempenda sana ila yeye hayuko tayari.
 
Huyo bnt ana visabsabina but madem wengi ndo tabia zao hasa wale wanaojiona wazuri sasa we mchunie mazima tuone atafanyaje........
 
Kama vip vip tu binua meza pasilike kabisa kuliko kuchanganywa na situation isiyo na majibu yasiyoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…