halafu mkiambiwa kagueni simu za wapenzi wenu mnagoma.........
Ila si unajua wanaume ni mabingwa wa kutafuta viranga nje na kuharibu ndoa zao? Usishangae....... Tena ukichunguza utakuta kaanza na mkewe akiwa na suruali mosha mashati mawili na godoro....akishapata dudu inalia mbwata mbwata anamwona mkewe hafai.....
Eversmilin Gal pole mwaya maana najua inauma kuwa na mtu ambaye hajali hisia zako wala maumivu.. aah bora niendekeze ubachela tu maana naona hawa watu wengi wao tabia zao zafanana.
Graca my dear, usichokijua hakikusumbui. Mkewe hatakuwa na tabia ya kupekuwa Simu ya mumewe na huenda anaishi kwa amani tu.
Mpaka nitakapopata uhakika usio na mashaka kuwa kumfuatilia mwanaume sana kunamfanya awe mwaminifu; suntatumia muda wangu adhimu kwa biashara hiyo.
Akinipa sababu yoyote ya mashaka nitaongea naye (a real talk) ambapo hawezi fanikiwa kunidanganya. Nitakapoona mapenzi hayapo siwezi kuendelea naye na kuishi kwa matumaini lkn kamwe sitamfuatilia.
As for kitendo cha huyo mbaba kuweka picha kwa jina la mdada kuna:-
1. Ana confidence ya hali ya juu au
2. Heshima kwa mkewe haipo kabisa (unapo cheat tayari heshima inakuwa imepungua) au
3. Ndoa yao haipo bali wana some sort of commitment tu au
4. Ni arrogant fulani asiye jali hisia za watu wengine.
Lakini kwangu mimi kosa la msingi ni Usaliti, tena bora nimpate wa hivi kuliko yule NYOKA anayetumia THE GUIDE ya The Boss.
Tatizo la hapo dada yangu utaishia kugegedwa sana na kina mzabzab.
Ila mi nafahamu wanaume tuliotulia tupo:rockon:...the only thing nyie mnatafuta th bad boys alafu mnageneralize kuwa ndo wanaume wote!!!:yo:
Kosa liko wapi mbona dini zote tu zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, usiwasikia wakristo wakisema hairuhusiwi si kweli hawaijui bibilia, kama wanaijua kweli bibilia wasinge pinga mafunzo ya Yesu. kama wanabisha watazama hapa kwenye verses zile za Old Testament ambazo zianruhusu polygamy.
In Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.
In 2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.
In 1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.
In 2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.
Na katika Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons.."
Ziko nyingi tu verses from the Old Testament that zinaruhsu kuowa wake zaidi ya mmoja, but I think that the above are sufficient enough to prove my point :biggrin:
Afu utakuta mkristo anajidai anampenda Yesu kweli kweli na Yesu ni Mungu wao, lakini hawafati mafunzo ya bibilia inavyo sema, bibilia inasema kama kweli unampenda Yesu na una amini Yesu ni Mungu, kunywa sumu na hauwezi kufa, nani anaweza kufanya hayo katika mkristo, subutu...kama nasema uwongo watazama hapa Mark 16:18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well." :biggrin:
Msinichukie ndugu zangu wakristo bure siku njema:A S shade:
.... maana anasema kuwa yy kabila lao mitala ruksa despite of religuous matters..
and you know siwexi mweleza mkewe maana sio sawa.. ndoa za siku hizi!!
Graca , hapa navyo fahamu mimi mwanaume anamuambia tu mke wake mimi naongeza mke wa pili, yani ana mu infom tu ili ajue mme wake anaenda kuongeza mke wa pili.fazaa kwa hiyo wewe unaona yupo sahihi according to vifungu ulivyoviweka hapo?
kama ni hivyo amtambulishe kwa mkewe ili ajue wapo wawili officially.
Graca , hapa navyo fahamu mimi mwanaume anamuambia tu mke wake mimi naongeza mke wa pili, yani ana mu infom tu ili ajue mme wake anaenda kuongeza mke wa pili.
Si lazima amjulishe naye huyo mke wa pili hakuna dini ambayo inasema vile, ile mwanaume sijui amjulishe naye sio lazima wako wanaume wanafanya vile lakini sio lazima:biggrin:
Inategemea.Evelyn Salt hebu waite waje watuelezee kwann hii hali.. kweli usimwonee huruma mkeo? hatukatai kweli wengine wanakua na nyumba ndogo lakini si inakuwa siri? naona kama yy amejiachia sana
Little Angel, njia moja wapo ya kukupeleka peoponi ni hio uwe na subra na hukuna kitabu cha dini chochote kinacho mshauri mwanaume aowe mke mmoja tu kama Qur'an.asante fazaa nimekupata ila dah ni ngumu sana kiukweli.. mi najijua wala si rahisi kukubali..lol
mamiiiiiiiiii mbona umenisusa sana mwenzio?? nimekukosea nini mpendwa wangu binti yangu wa rohoni.
Kosa liko wapi mbona dini zote tu zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, usiwasikia wakristo wakisema hairuhusiwi si kweli hawaijui bibilia, kama wanaijua kweli bibilia wasinge pinga mafunzo ya Yesu. kama wanabisha watazama hapa kwenye verses zile za Old Testament ambazo zianruhusu polygamy.
In Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.
In 2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.
In 1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.
In 2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.
Na katika Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons.."
Ziko nyingi tu verses from the Old Testament that zinaruhsu kuowa wake zaidi ya mmoja, but I think that the above are sufficient enough to prove my point :biggrin:
Afu utakuta mkristo anajidai anampenda Yesu kweli kweli na Yesu ni Mungu wao, lakini hawafati mafunzo ya bibilia inavyo sema, bibilia inasema kama kweli unampenda Yesu na una amini Yesu ni Mungu, kunywa sumu na hauwezi kufa, nani anaweza kufanya hayo katika mkristo, subutu...kama nasema uwongo watazama hapa Mark 16:18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well." :biggrin:
Msinichukie ndugu zangu wakristo bure siku njema:A S shade:
BADILI TABIA , Mungu katupa sote akili sawa tusifanye hasira hapa, hebu toa point yangu wapi nilipo kosea, yule mwanaume anasema anataka kumuoa yule mwanamke, hakusema anataka awe hawara yake tazama quote ya Graca inasema ninikuna binadamu bila kuchokonoa maandiko na imanimza wenzao nafsi zao huwa hazina amani...........
Mark 16:18
anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa mapepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekez wagonjwa mikono, nao watapona."
msioende kugeuza maandikomya wenzenu bila sababu. Huyo mwanamke ni hawara. Na maanfiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote. Haoo huyo mume angeheshimu ndoa yake na hawara angeheshimu ndoa ya huyo mwanaume leo asingekuwa hawara wa huyo baba. Haifai kutaka kujustify uzinzi wa mtu........
Na kanisa lina utaratibu wake kumbuka mathayo 18:18 imetoa mamlaka
"nawaambieni kweli chochote mtakachokifunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachokifungua duniani kitafunguliwa mbinguni.
ana mpango wa kumfanya mke maana anampenda sana