Hii ni likizo ya karne

Sikufurahia huu ujumbe na wala sikushangazwa nao kwani siku zote wakereketwa wa CCM ndio wenye mawazo haya, mtu ukiyakosoa wanakutumia kina Mang'ula kukupa sumu ufe.
 
Nikiingia job cku za ckukuu nalipwa mara tatu na bonus juu so nawatakia ckukuu njema hapa kazi tuu.
 
likizo yangu najipa mwenyewe, nikiamua kufunga biashara nafunga tu
 
Watu wasiopenda kufanya kazi utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…