Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

acheni Ujinga

Magufuli tunaona anafanya alafu unasema maigizo
 
mimi ukawa lakini uyu jamaa na aina ya kama uyu awe ccm , ukawa au chauma lakini wafukuwe na magufuli funga wote wa aina hiyo.ifike wakati vyama tuweke kando nchi first. mabadiliko ndo haya, iwe lowassa au magufuli haya ndo tuliyo ya tegemea. magufuli chapa job
 
tuheshimiane kwa vipato vyetu halali.so mtu akiwa serikalini anakuwa tajiiiri alafu analipwa laki nane
 
exactly mkuu.

Mimi naipenda TANZANIA Zaidi

at least now uzalendo utarudi

I can proudly sing my national antheem

safi sana JPM
 
We kweli zombi?hao watu wanaoondolewa na si kuna sababu?au wanaondoka tu hivi hivi?
 

Wewe kweli hamna kitu majipu yanatumbuliwa wewe unaongelea vyama ama kweli watanzania wengine ni wagumu kuelewa kwani ubadhilifu na uzembe una uchama?
 
Ninamuommba Mh. Rais aisafishe TRA afukuze watumishi wote waajiriwe wengine. Afukuze kwa awamu au kuhamishia mawizarani kwa kuwa wana utumishi wa kudumu na pensheni. Aanzie Management then seniors mpaka ofisa. Wapya hawawezi kufanya wizi mapema na wamulikwe hasa. Waajiriwa TRA waliifanya yao. Sambamba na hilo buashara za lake oil, uda, millennium hotels bagamoyo, puma, home shopping centre iliyofunga buashara na nyingine nyingi zichunguzwe. Mh Rais wangu ifanye Ikulu takatifu sasa na si kituo cha biashara.
 
Kk km kunategemez wako anamichezo km hii yop hatian anapigwa dundo life linaendelea... wengi tupo ukawaka lkn ukwel Mh Magufuli anatupa moyo.... na tunaimani tena nchi ytu kwa msimamo alionao...
 
Magufuli nj moto wa kuotea mbali,we unaruhusu makontena ya pite bila kulipa halafu unakomaa na bodaboda lazima awajibike
 

Kwa hiyo wewe humjui habibu? Na mali zake zisizo elezeka? Acha udwanzi
 
Jk na mtandao wake walituharibia nchi yetu sana.bahati yake na yeye ana kinga ya kutoshtakiwa,vingnevyo tungeanza nae,maana hata haya madudu yamefanyika wkt wa utawala wake nae akawa kimya tu.
 
Jamaa c alikua anataka ukawa wapite aendelee na madyudyu yake,sa kapita mtu ambae hana urafiki,
Unajua hawa matajili wetu bhana wakati wa kampain wanatafta rafiki wa kulinda madyudyu yao,ndo maana m2 akijulikana anaenda kua raisi wanatafta urafiki nae,sasa jamaa kashtukiza uraisi,mbna matumbo joto saiv,na mali zao zinachunguzwa sa kama zinaendana na mshahara
 
Makontena 349 yamepotea wahusika wametoa macho hawana cha kujitetea bado unashauri iundwe tume kuchunguza. Acha kuturudisha nyuma hapa ni kazi tu walijisahau sana hawa watu
 
Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya,najua kwa sasa ni lawama kila kona..ukizingatia tumezoea kufanya kazi kwa mazoea..
 

Tanzania ya magufuli siyo ya mchakato, mikakati, tume na mengineyo na sisi tunamuunga mkono.....hebu muache apige kambi....halaf unaongelea ukawa wapi hao adhirikiane nao.......?, hawa waliomzomea siku anazindua bunge.....hebu be serious kidogo.
 
Hakuna hata mmoja TRA alie msafi, wote wizi. Na huyu kamishna ndio jambazi mkumbwa. Na kama alikua ukawa basi aongezewe miaka jela kama atashitakiwa.

Kamanda nakuunga mkono tra wote wezi contena hazikuanza kuibiwa leo na bade alikuwa anafaham lkn alikuwa hachukui hatua ni kuwayimua tu na kuyafunga majuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…