Hii ni kweli kwa wanawake

Hii ni kweli kwa wanawake

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Habari za asubuhi, hii nimeitoa kwarafiki yangu wa facebook:

MAMBO AMBAYO WANAUME HUWA TUNAYAFANYA ILI KUWATEST WANAWAKE KAMA WANAFAA KUOLEWA OR NIENDELEE KUWA NAE KAMA BOKO HARAMU:

1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.

2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo.

Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu".

3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani!

4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela.

Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapigia". Woiyeeee! My sista hapo umejimaliza!!

5. Ukimtembelea kwake ukakuta anapika na kufanya usafi wewe umekaa tu unaangalia muvi halafu ukitaka umsaidie anakwambia endelea kuangalia muvi karibu anamaliza na wewe kweli ukarudi ukakaa kuendelea na muvi yako! Siku zako zinahesabika!!

6. Ulishawahi kumwambia mpenzi wako aende kwenye ibada? Alipokataa ulimsisitizia? My sister, hata walevi wanapenda wanawake ambao wanawasisitiza kwenda kwenye ibada. Sio tule wale kila siku wanashinda baa na club.

7. Mara ngapi huwa unamkumbusha kuwapigia simu wazazi au ndugu zake kuwajulia hali mkiwa wote? Angalao akupe na simu na wewe uwasalimie? Huo ni mtihani mwingine huwa mnafeli sana.

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.

9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni Kiduku, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.

11. Jenga na tabia ya kumnunulia tuzawadi tudogo tudogo. Sometimes unakuja na kavesti au kadodoranti. Hiyo kwa wanaume inaonyesha unaweza kujipa majukumu na kuyasimamia.

Marks hizo.
 
Na wajifunze!
Lingine likija geto ni lenyewe na tweeter, FB na whats up!
Baby embu angalia hii picha nimependeza ehhe....!
Embu nipige nyingine.....nimtumie my sister and my friends!
Ila mimi ni mzuri si ndio baby ehhe?(mi huwa nawauliza, jibu gani nikupe litalokufurahisha?)
 
Nikweli wanawake tuwajali wapenzi wetu naupande wengine tunajiaribia wenyewe
 
Akuruhusu umtumie Mama yako pesa za kujiuguza ili asiende Mlimani Mall kula pop corn?Thubutu mdada wa hivyo hajazaliwa bado TZ yetu!!
Eheheheheheheh
 
hii singo inwahusu sana wanaoingia katika mahusiano...
 
aiseeee we sahau labda kizazi chetu tufanye kama tuna rewind
 
Akuruhusu umtumie Mama yako pesa za kujiuguza ili asiende Mlimani Mall kula pop corn?Thubutu mdada wa hivyo hajazaliwa bado TZ yetu!!
Eheheheheheheh
hahahahahah acha kukatisha tamaa na kugeneralise mbona wapo wengiii sana tu sema hujabahatika kuwapata, me nashukuru nimeshakutana na wa aina zote hizo.
 
Akuruhusu umtumie Mama yako pesa za kujiuguza ili asiende Mlimani Mall kula pop corn?Thubutu mdada wa hivyo hajazaliwa bado TZ yetu!!
Eheheheheheheh

Mbona mie nishazaliwa siku nyingiiiiiii!

Hadi nakaribia kufa...lol.....au unazungumzia TZ ipi?
 
sio kizazi hiki mkuu mpime tu kwenye simu zake mtihani tosha!!!!!
 
good woman is hard to find,but somo tosha sana kwani sasa wanawake ni wengi ila wanaostahili kuolewa ni wachache
 
Hawa dada zetu wana vichwa vigum sana,na hiz smat 4n zimeingia ndo kwanza anakua bize na hicho kicm chake cha ki hu haaaa!
 
Habari za asubuhi, hii nimeitoa kwarafiki yangu wa facebook:

MAMBO AMBAYO WANAUME HUWA TUNAYAFANYA ILI KUWATEST WANAWAKE KAMA WANAFAA KUOLEWA OR NIENDELEE KUWA NAE KAMA BOKO HARAMU:

1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.

2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo.

Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu".

3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani!

4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela.

Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapigia". Woiyeeee! My sista hapo umejimaliza!!

5. Ukimtembelea kwake ukakuta anapika na kufanya usafi wewe umekaa tu unaangalia muvi halafu ukitaka umsaidie anakwambia endelea kuangalia muvi karibu anamaliza na wewe kweli ukarudi ukakaa kuendelea na muvi yako! Siku zako zinahesabika!!

6. Ulishawahi kumwambia mpenzi wako aende kwenye ibada? Alipokataa ulimsisitizia? My sister, hata walevi wanapenda wanawake ambao wanawasisitiza kwenda kwenye ibada. Sio tule wale kila siku wanashinda baa na club.

7. Mara ngapi huwa unamkumbusha kuwapigia simu wazazi au ndugu zake kuwajulia hali mkiwa wote? Angalao akupe na simu na wewe uwasalimie? Huo ni mtihani mwingine huwa mnafeli sana.

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.

9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni Kiduku, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.

11. Jenga na tabia ya kumnunulia tuzawadi tudogo tudogo. Sometimes unakuja na kavesti au kadodoranti. Hiyo kwa wanaume inaonyesha unaweza kujipa majukumu na kuyasimamia.

Marks hizo.

If that is the case too heaven!!!
 
Hata Mimi ni mwanamke naungana na hii post 100% No 6, 8 na 10 zimefunika
 
Back
Top Bottom