Hii ni kweli au photoshop jamani?

Mambo ya Shigongo haya, kuchukua habari feki na kulazimisha kuwa kweli mpaka jamii inapotoka, kwani hapa kwa watakao ona hii picha utawasikia kuna kuku wengine duniani wanazaa mbwa, subirini tu mtasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…