Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Wabaya sana nyinyi watu..., halafu alivyowaacha mkaanza kumcheka na kupongezana..Nilikuwa na mshkaji wangu na mchepuko wake sehem flan mara wife wake akaja, mbona ilibidi mim ndo nimvae mchepuko kama mhusika na wife hakugundua hadi akatuacha..
No tuliskitikaWabaya sana nyinyi watu..., halafu alivyowaacha mkaanza kumcheka na kupongezana..
Hahahahaaaa nimecheka sana aiseeNilisahau simu bar, gelofrendi naye akapita hapo bar wakati anakuja kwangu, akawakuta washkaji niliowaacha hapo wako na simu yangu. Akaomba wampe aniletee, jamaa walimkatalia kata kata!! Ile simu ilikodiwa taxi mida ya saa tano hivi usiku. Kile kitendo gelofrendi alishindwa hata namna ya kukielewa
Ha ha ha ha Nina mshkaj wangu huyo akipigiwa simu na wife hapokei mpka anitafute kwanza